SIRI YA MAPENZI YAO IKO MOYONI MWAO

Mwandishi Wetu

Mastaa wengi wamekuwa wakiingia kwenye uhusiano na kufanya siri kubwa. Wapo ambao wanaonekana dhahiri ni wapenzi kutokana na ukaribu wao lakini wakiulizwa wanadai wana ‘project’.Ukiuliza ni project gani utaambiwa wana filamu wanacheza. Cha ajabu sasa unaweza kusubiria hiyo filamu na usiione. Mwisho wa siku unajiongeza na kubaini baadhi wanatumia kivuli cha ‘project’ kuendesha penzi lao kwa siri.
Juma Musa ‘Jux’ na Vanessa Mdee.
Utakumbuka hata uhusiano wa mwanamuziki Nasibu Abdul “Diamond’ na Zarina Hassan ‘Zari’ walianza kwa staili hii.…

No comments:

Post a Comment