MWANAUME WA UGANDA AFUNGUKA: ZARI AMETOA MIMBA ZANGU 2




Zari na Sempala wakipozi kimahaba.SEMPALA ACHUKIA UHUSIANO WA ZARI, DIAMOND
Kati ya watu wa mwanzo walioponda uhusiano wa Zari na Diamond ni Sempala ambaye alinukuliwa na vyombo vya habari nchini humo akisema kwamba hapendezwi kabisa na pea ya wawili hao.
Habari zilieleza kwamba Sempala ambaye anasifika kwa dili za mjini, anaonekana kutokuwa katika hali ya kawaida tangu alipopigwa chini na Zari mwaka jana hivyo kuchukuliwa kama anasema chochote kutokana na kuchanganyikiwa.
ZARI YUPO SAUZI

No comments:

Post a Comment