NAY AFUNGUKIA NDOA NA SHAMSA


Na Mussa Mateja

Msanii wa muziki, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’, ameeleza kuwa endapo msanii mwenzake ambaye sasa hivi wanapika na kupakua, Shamsa Ford atamuonesha utulivu na uaminifu hataona sababu ya kutomuoa.
Msanii wa muziki, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’,akipozi kimahaba na Shamsa Ford.
Nay aliyasema hayo juzikati alipokuwa akizungumzia mipango yake na Shamsa ambaye amejiweka kwake baada ya kutosana na mzazi mwenzake, Siwema. Nay alisema: “Hilo la ndoa kiukweli kabisa kama Shamsa ataonesha kutulia na kunithibitishia kuwa hatakuja kunizungua,…

No comments:

Post a Comment