MKE AANDAA FUMANIZI, LADUNDA USIKU


Dustan Shekidele, Morogoro

Mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Janeth, hivi karibuni alizua kizaazaa cha aina yake baada ya kumtegea mumewe fumanizi kufuatia madai kuwa anachepuka lakini likadunda.Tukio hilo lilitokea mwanzoni mwa wiki hii, saa 5 usiku katika Mtaa wa Bigwa, Kata ya Kilakala mkoani Morogoro.
Janeth anayedaiwa kumtegea mumewe fumanizi.
Chanzo chetu cha kuaminika kilidai kuwa, siku ya tukio Janeth alitonywa na wambeya kuwa mumewe eti yuko nyumbani kwa mwanamke mmoja ambaye ni mama n’tilie (jina halikufahamika mara moja) na ndipo…

No comments:

Post a Comment