USTAA UMEWASHINDA,WAPO KAMA HAWAPO!!!


Na Hamida Hassan

Wapo mabinti ambao waliingia kwenye fani ya uigizaji kwa mbwembwe, wakawika sana kwenye vyombo vya habari na kuunyemelea ustaa lakini ghafla wakayeyuka.Walipoibukia kwenye fani walionekana watakuwa tishio na kuwafunika wale wakongwe waliokuwa wakionekana wao ndiyo wao. Sasa hivi hawajulikani wako wapi na wanafanya nini.
Skaina Ally
Skaina Ally

Huyu alikuwa tishio sana miaka ya nyuma. Umbo lake tata, uzuri wake vilimbeba, akawavutia baadhi ya wanamuziki ambao walimfanya kuwa Video Queen kwenye nyimbo zao kama vile Bob Junior aliyemtumia…

No comments:

Post a Comment