Imelda mtema
STAA wa Bongo Movies, Zubery Mohamed ‘Niva’ amemuanika mpenzi wake wa sasa aliyemtambulisha kwa jina la Maisala na kuweka bayana kwamba hahitaji tena mwanamke mwingine.
Akizungumza na mwanahabari wetu, Niva alisema alifanya tathimini ya kina na kuamua kutulia na mwanamke huyo kukwepa habari zile za kurukaruka leo huyu kesho mwingine.
“Unajua mambo ya kurukaruka yana mwisho wake sasa nimeamua kutulia na mpenzi wangu huyu na Mungu akijaalia…
No comments:
Post a Comment