Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha na
kisha kufanya mazungumzo na Rais Mstaafu wa Marekani Mhe Bill Clinton Ikulu
jijini Dar es salaam leo April 28, 2015.
rais huyo wa 42 wa Marekani yuko nchini
kukagua miradi ya maendeleo na afya inayofadhiriwa na taasisi za Clinto
Development Initiative (CDI) na Clinto Health Access Initiative
(CHAI).
No comments:
Post a Comment