Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe Membe akimkaribisha
Rais Mstaafu wa Marekani Mhe Bill Clinton Ikulu jijini Dar es salaam Aprili 28,
2015. Rais huyo wa 42 wa Marekani yuko nchini kukagua miradi ya maendeleo na
afya inayofadhiriwa na taasisi za Clinton Development Initiative (CDI) na Clinto
Health Access Initiative (CHAI).
No comments:
Post a Comment