STAA wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond' jana ametupia picha
hii mitandaoni akihakiki tiketi kwa ajili ya shoo ya mpenzi wake Zarinah Hassan
'Zari' ya ZARI ALL WHITE PARTY itakayofanyika Ijumaa ya Mei 1, mwaka huu kwenye
Ukumbi wa Mlimani City, Dar.
Kwenye
shoo hiyo ya Zari, watu mbalimbali mashuhuri wanatarajiwa kuhudhuria akiwemo
dairekta mkubwa Afrika, Godfather wa Afrika Kusini na Top Ten ya Washiriki wa
Shindano la Big Brother ‘Hot Shot’ 2014.
No comments:
Post a Comment