Wanafunzi wa Takoma Park Middle School
iliyopo jimbo la Maryland juzi kati wanafuzi walifundishwa utamaduni wa
Kitanzania ikiwemo mavazi na ngoma ya asili ya Kimasai, pamoja na kuilezea
jukwaani kuhusu Tanzania na kabila la Kimasai baadae walicheza kanda ya nyimbo
ya Kimasai na wanafunzi kucheza kwa kuruka ruka juu kama Wamasai
Wanafunzi wa Takoma Park Middle school jimbo
la Maryland wakionyesha vinyago na nguo za vitenge kutoka Tanzania
Wanafunzi wakiwa kwenye maonesho ya
utamaduni wa Tanzania
Kwa picha zaidi bofya
No comments:
Post a Comment