A-Z ALI KIBA ALIVYONUSURIKA KUUAWA!


Musa Mateja
Hatari sana! Mkali wa Ngoma ya Chekecha Cheketua, Ali Saleh Kiba ‘King Kiba’ amenusurika kifo baada ya kuvamiwa nyumbani kwake na majambazi ambao walimteka mlinzi na ndugu yake mmoja kisha kuwashushia kibano kikali huku wakiwaamuru wawapeleke kwenye chumba anacholala msanii huyo, Ijumaa Wikienda lina A-Z.
Mlango nyumbani kwa Alikiba ukionekana jinsi ulivyovunjwa na majambazi na kuiba vitu.
Akizungumza kwa masikitiko makubwa na gazeti hili, Mei 2, mwaka huu, Abdul Kiba ambaye ni mdogo…

No comments:

Post a Comment