ESTER: JAMANI MASTAA ACHENI KUIBA WAUME ZA WATU!


Gladness Mallya
Funguka! Mwanadada mwenye mvuto wa aina yake katika kiwanda cha filamu Bongo, Ester Kiama ameibuka na kuwachana mastaa wa kike wanaopenda kuiba waume za watu kwamba waache kwani si tabia nzuri.
Ester Kiama.
Akizungumza na Ijumaa Wikienda, Ester alifunguka kuwa mastaa wanaochukua waume za watu, tabia zao siyo nzuri na kibaya zaidi wakishawachukua wanajigamba ili watu wawaone wako juu mjini wakati hawana lolote.
“Siyo kwamba sijawahi kuwa na mume wa mtu, nilishawahi lakini nimetokea…

No comments:

Post a Comment