ALIYEZAA NA ASKOFU WA KKKT ATAKA D.N.A


Na Joseph Ngilisho, Arusha

MAPYA tena! Lile sakata la Askofu Benson Bagonza wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Karagwe mkoani Kagera kudaiwa kuzaa watoto wawili na muumini wake, Peace Sylvester limeendelea kuchukua sura mpya kufuatia mwanamke huyo kumtaka askofu wakapime D.N.A.
Askofu Benson Bagonza wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Karagwe mkoani Kagera.
Mbali na madai hayo, naye baba mzazi wa Peace, mzee Sylvester Katoto (72) ameibukia jijini hapa na kumtaka askofu…

No comments:

Post a Comment