Baadhi ya wananchi wakivushwa kwa kushikwa mkono katika eneo la Afrika Sana jijini Dar. Kushoto ni kijana anayemvusha mtu kwa kumshika mkono ambapo hutoza kiasi cha shilingi mia mbili.
Wananchi wakionekana kupata adha ya kupita katika mafuriko eneo la Chuo Cha Ustawi wa Jamii Kijitonyama.…
No comments:
Post a Comment