Salamu sana ama baada ya salamu, mimi ni mzima wa afya. Namshukuru Mungu. Naendelea na michakato yangu ya kila siku si mnajua tena mjini mipango, tutalala uzeeni!
Madhumuni ya barua hii ni kutaka kuwapongeza kwani sikufurahishwa na ugomvi wenu uliokuwa umefika pabaya.
Sikufurahishwa kwa sababu sikuona hoja ya msingi ambayo iliwafanya nyinyi mfikie hatua ya kutoleana maneno mazito utadhani hamkuwahi kuwa marafiki wakubwa.
Hivi…
No comments:
Post a Comment