FUMANIZI LISIKIE KWA MWENZAKO


JOSEPH NGILISHO, ARUSHA
NIkweli! Kashikashi za kuambiwa umefumaniwa zisikie kwa mwenzako tu! Utakuta mtu mkubwa, bonge, lakini akidaiwa amefumaniwa, nguvu zote zinakwisha! Sijui kwa nini?!
Aldina Hashim akitaitiwa.
Mfanyabiashara mmoja wa jijini hapa ‘pedeshee’ aliyejulikana kwa jina la Aldina Hashim, mkazi wa Unga Limted, amechezea kichapo baada ya rafiki yake kipenzi, Emmanuel Mwambije kudai amemfumania na mke wake, Felista Mwambije.
ENEO LA TUKIO

Kwa mujibu wa Mwambije mwenyewe, tukio hilo la aibu lilijiri kwenye gesti moja…

No comments:

Post a Comment