ROSE NDAUKA, MANECKY LAIVU!


BRIGHTON MASALU

MAHABA niue! Staa wa sinema za Kibongo, Rose Donatus Ndauka na Prodyuza wa Lebo ya AM Records, Emmanuel Saimon Sawando ‘Manecky’ wamenaswa ‘laivu’ wakiwa katika mapozi ya kimahaba mazito jambo lililozua minong’ono miongoni mwa wengi.
Staa wa sinema za Kibongo, Rose Donatus Ndauka akiwa na Prodyuza wa Lebo ya AM Records, Emmanuel Saimon Sawando ‘Manecky’.
Tukio hilo lilishuhudiwa na mwandishi wetu lilijiri mwishoni mwa wiki iliyopita ndani ya Klabu ya New Maisha, Oysterbay jijini Dar kulikokuwa na…

No comments:

Post a Comment