USALITI? Huenda maumivu ya mapenzi yakazidi kumuandama msanii wa muziki Bongo, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ baada ya gazeti hili kunasa picha za mchumba’ke Shamsa Ford akiwa katika mahaba mazito na msanii mwanaume mwingine aliyedaiwa kuwa ni mchepuko wake, Rammy Galis, Amani lilifuatilia hatua kwa hatua.
Staa wa filamu za Kibongo, Shamsa Ford akipozi kimahaba na Rammy Galis.
Ishu hiyo ‘ilidakwa’ na ‘balozi’ wa gazeti hili usiku wa Jumapili iliyopita ndani ya Ukumbi wa New Maisha, Masaki jijini Dar kulipokuwa na onesho la Mrs.…
No comments:
Post a Comment