OYA SISTA UKIGEUZA UZURI WAKO MTAJI, UTAISHIA KUCHEZEWA!


Niaje…niaje wanangu na maduu wa ukwehe? Inakuwa nini watu wangu wa nguvu? Imekuwa fasta kinoma na tumekutana tena, huwezi kuamini kama kitu cha wiki kimekatika. Enewei ndo kama hivo kachala wako nipo chuma kabisa nimeshatokelezea rede kukisanua hapa kwa fasi ya jamvini. Wanangu kitu cha mvua kimezingua bati kwani kuna maproblemu? Hakuna tatizo. Basi jiti!
Tudei namaindi kukusanua na ishu moko hivi ambayo mazee naona kama inazidi kuwa majanga kwa deizi zijazo hapo fowadi kozi kuna maduu f’lani hivi amazing bati ndo tuseme tu inshoti kwamba wamejitoa kitu cha fahamu aisee.

Kuna mabebiz wakare ambao ukiwapiga chambo wewe mwenyewe masti usizi kozi ni kitu na boksi la ukweli kabisa.

Taipu ya mashori kama hao ni wale ambao wanajiona na wanajua wao ni sumu yaani kisu ileile.
Wenyewe…

No comments:

Post a Comment