Lowassa Alitikisa Jiji La Arusha.....Mitaa Yafungwa, 'Safari ya Matumaini' Kutangazwa Rasmi Mei 24 Mwaka huu

Shughuli mbalimbali jijini Arusha jana zilisimama kwa muda wakati umati wa watu ulipofurika kumlaki Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa aliyewasili mkoani hapa kwa ajili ya kuendesha harambee ya ujenzi wa Msikiti wa Patandi ulioko wilayani Arumeru. Lowassa, ambaye jana aliweka bayana kuwa atatangaza rasmi nia yake ya kuwania urais kwa tiketi ya CCM, alienda kuendesha harambee...
Read More

No comments:

Post a Comment