Wema Sepetu Aeleza Kwanini Hampendi tena Diamond na Kwanini Zari Hamtishi Kwenye Fashion


Wema Sepetu hampendi tena Diamond Platnumz na anasema kila anapoukumbua uhusiano wao, anakumbuka mambo mabaya zaidi kuliko mazuri.“Hapana simpendi [Diamond], yalishaisha hayo, nilishampendega, niliwahi kumpenda sana, lakini hamna tena, yaani hata sishtuki,” Wema alikiambia kipindi kifupi cha Kabali cha EFM.“Nikimkumbuka Diamond most of the things ambavyo ninavikumbuka sio vitu vizuri...
Read More

No comments:

Post a Comment