MADAI JINI KABULA AREKODIWA

Musa mateja na Imelda Mtema

SHABAAASH! Staa aliyejizolea umaarufu mkubwa kupitia Tamthiliya ya Jumba la Dhahabu, Miriam Jolwa ‘Jini Kabula’, anadaiwa kurekodiwa mkanda wa ngono na kusambazwa katika mitandao ya kijamii, Amani linakupa stori kamili.
Staa aliyejizolea umaarufu mkubwa kupitia Tamthiliya ya Jumba la Dhahabu, Miriam Jolwa ‘Jini Kabula’.
Chanzo cha habari hii kimeeleza kwamba, tukio hilo lilitokea hivi karibuni baada ya mtu anayedaiwa kuwa ni mchumba wa staa huyo kumrekodi video hiyo na baadaye walipopishana kauli, akaamua…

No comments:

Post a Comment