MOSE IYOBO: HALI YA BEBI IMENIFANYA NISIENDE LONDON


Imelda Mtema

MPENZI wa staa maarufu wa filamu Bongo Aunt Ezekiel, Moses Iyobo ambaye pia ni dansa mahiri wa mwanamuziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ amefunguka kuwa hakwenda kwenye shoo iliyokuwa ikifanyika katika Jiji la London kutokana na hali ya mpenzi wake.
Staa maarufu wa filamu Bongo Aunt Ezekiel akiwa na mpenzi wake Moses Iyobo.
Akichezesha taya na Centre Spread, Mose alisema kuwa alishindwa kujumuika na wenzake akihofia hali ya mpenzi wake hivyo alipenda kuwa naye karibu hadi kwenye hitimisho lake la kumpata mtoto…

No comments:

Post a Comment