Kumekuwa na madai kuwa, mwanadada Husna Sajent ameolewa na msanii mwenzake wa filamu, Salim Ahmed ‘Gabo’ lakini wenyewe wamekuwa wakikanusha! Hata hivyo, juzikati Maimartha Jesse ‘Mai’ alimwaga mchele mbele ya kuku kwa kumuita Husna ‘Mrs Gabo’.
Mai alifanya hivyo pale alipokuwa akiwatambulisha mastaa waliohudhuria sherehe ya ‘baby shower’ ya Aunt Ezekiel iliyofanyika Mwendopolepole, Bagamoyo mkoani Pwani.
Katika utambulisho huo, Mai alimuita Husna ‘Mrs Gabo’ akimaanisha na si kwa utani, hali iliyowafanya watu…
No comments:
Post a Comment