SHILOLE AACHA AIBU ULAYA!


Erick Evarist

STAA wa Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ ameacha aibu ya aina yake barani Ulaya baada ya gauni lake kuvuka na kuacha ‘nido’ zake hadharani, Risasi Mchanganyiko lina stori kamili.
Staa wa Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ akiimba kwa hisia.
Tukio hilo lililozua gumzo katika mitandao mbalimbali ya kijamii, lilijiri usiku wa kuamkia Jumatatu iliyopita katika Jiji la Antwepen, Ubeligiji wakati Shilole aliyeambatana na mpenzi wake Nuh Mziwanda walipokuwa wamekwenda kutumbuiza katika ukumbi…

No comments:

Post a Comment