ODAMA ATAKA WENZAKE WAJITUME


Imelda Mtema

STAA ambaye ni mtafutaji anayemiliki Kampuni ya J-Son Film, Jennifer Kyaka ‘Odama’ amewataka mastaa wenzake wa kike kujituma kufanya kazi, kwani ndiyo siri pekee ya kuwaepuka wanaume wakware wanaotumia fedha kuwarubuni kirahisi.
Staa ambaye ni mtafutaji anayemiliki Kampuni ya J-Son Film, Jennifer Kyaka ‘Odama’.
Akipiga stori na gazeti hili, Odama alisema wanaume wakware wakiona staa wa kike anapiga mzigo, wanaogopa hata kumsogelea wakijua wazi watashindwa kwani mara nyingi hutumia fedha kuwarubuni, hivyo…

No comments:

Post a Comment