VITUKO BABY SHOWER YA AUNT EZEKIEL


Waandishi wetu

VITUKO kibao vilitawala juzikati kwenye sherehe ya ujio wa mtoto wa staa wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel (Baby Shower), baada ya mastaa na waalikwa kibao kuonekana kufanya vituko vya hapa na pale.
Staa wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel akikata keki.
Tukio hilo lilijiri usiku wa kuamkia Mei 10, mwaka huu katika Viwanja vya Ndoto Polepole, huko Bagamoyo mkoani Pwani, ambako waalikwa walipata fursa ya kula, kucheza na baadaye kutoa zawadi kwa ajili ya mtoto atakayezaliwa.

Aunt Ezekiel alimtambulisha mpenzi wake, Moze Iyobo kwa…

No comments:

Post a Comment