MWANADADA anayefanya vizuri kunako gemu la filamu Bongo, Salma Jabu ‘Nisha’ amejikuta katika wakati mgumu baada ya kuvamiwa na vibaka ambao walivunja gari lake na kuchukua vifaa mbalimbali na fedha dola elfu moja za Marekani sawa na shilingi 1,900,000 za Kitanzania.
Akielezea tukio hilo, Nisha alisema lilitokea usiku wa saa tisa Jumapili iliyopita ambapo watu wapatao watano waliruka ukuta na kuingia ndani na kuvunja gari lake aina…
No comments:
Post a Comment