TYK:
Ndg zangu wakati mipango na taratibu za maziko ya mpendwa wetu Juliana Prosper Mushi ikiendelea naomba kuwajulisha ya kwamba daftari la maombolezo likiwa limefunguliwa naomba tuanze kuwasilisha rambi rambi zetu kwa maelekezo yafuatayo:-
Lina Mushi Mwakatumbula
+255 713 236 847
&
Pastory Mark Mushi
+255 754 273 514
Ndg zetu tayari wako Moshi wakiendelea kuratibu mipango ya mazishi.
TYK
TYK:-
Nawasilisha taarifa ya mazishi wa mpendwa wetu Juliana Prosper Mushi.
Mazishi yatafanyika tarehe siku ya Jumanne tarehe 05-05-2015
Ibada ya Misa itafanyika parokia ya Umbwe kuanzia saa7 mchana.
Maziko yatafanyika nyumbani kwa marehemu Mkomongo.
Pole na msiba wapendwa!
No comments:
Post a Comment