Zari "Watanzania Wamenikaribisha kama ni mtu wao na sasa mimi ni wao hivyo ni yote ni heri kabisa"
Zari Tlale aka The Bosslady amesema upendo
anaoupata baada ya kuanzisha uhusiano na Diamond Platnumz, umemfanya agundue
kuwa watanzania wamemkubali kama mtu wao.
Akiongea na Clouds FM/TV asubuhi hii, Zari
amesema tangu ameanza kuja Tanzania amekuwa akipokea upendo zaidi kutoka kwa
watanzania kiasi ambacho kimemfanya ajisikie kama yupo kwao.

No comments:
Post a Comment