Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli,
Mh. Edward Lowassa, akipungia mkono maelfu ya wana CCM na wananchi wa Musoma,
alipowasili uwanja wa ndege wa Musoma Juni 9, 2015, kuendelea na kampeni yakle
ya kuomba wana CCM wamdhamini baada ya kuchukua fomu za kuomba kuteuliwa na CCM
kuwania nurais wa Tanzania kwenye uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba
25, 2015
Lowassa, (kulia), akiwatuliza wana CCM na
wananchi wa Musoma, waliojaribu kuvunja geti ili walao wapate kugusana naye
alipowasili uwanja wa ndege wa Musoma, Juni 9, 2015, kwa nia yabkuomba wana CCM
wamdhamini
Wana CCM na wananchi wa Musoma, wakipiga
kelele kumwita Mh. Lowassa, ili awasogelee kumsalimia huku wakiwa nje ya geti la
uwanja wa ndege wa Musoma
Mh. Lowassa, akiongea na bibi kizee huyu
aliyeomba walau amshike mkono ili kumpa baraka katika safari yake ya matumaini
2015, alipowasili kwenye ofisi za CCM wilaya ya Bunda, mkoani Mara, Juni 9, 2015
kuomba wana CCM wamdhamini




No comments:
Post a Comment