MIMBA YA ZARI SI YA DIAMOND


Mwandishi wetu

OHOOO! Wakati Nasibu Abdul ‘Diamond’ akijinadi kwa mbwembwe kuwa anategemea kiumbe kutoka kwa mwandani wake Zarina Hassan ‘Zari The Boss Lady’, ubuyu mpya wa mjini unadai kuwa mimba aliyobeba mrembo huyo si ya Diamond, Amani limemeza sababu za kutosha.
Mwandani wa mbongo fleva Nasibu Abdul ‘Diamond’, Zarina Hassan ‘Zari The Boss Lady’.
TUJIUNGE NA CHANZO

Kwa mujibu wa chanzo chetu kilicho karibu na Diamond anayesumbua kwa sasa na wimbo wake wa Nana, tangu habari ya ujauzito wa mlimbwende huyo mwenye asili ya Uganda…

No comments:

Post a Comment