JOHARI: RAY NI KILA KITU KWANGU!


Brighton masalu

PATAMU hapo! Diva wa filamu Bongo, Blandina Chagula ‘Johari’ amesema msanii mwenzake, Vincent Kigosi ‘Ray’ ndiye kila kitu maishani mwake kutokana na msaada aliompa wa kumtoa kisanii na kumsapoti kwa mambo mengi kikazi.
Diva wa filamu Bongo, Blandina Chagula ‘Johari’.
‘Akianika mwanya’ katika mazungumzo na Amani juzikati, Johari alisema haoni sababu ya kuficha ukweli kuwa bila Ray isingekuwa rahisi yeye kufika alipo kisanii hivyo lazima akumbuke kurudisha shukrani.…

No comments:

Post a Comment