STAA wa filamu za Kibongo, Shamsa Ford ameibuka na kuwakandia mabwana aliowahi kutoka nao kimapenzi na kusema kuwa ni wababaishaji na sasa ni bora atafute mwanaume wa kumuoa.
Akipiga stori na Amani, Shamsa anayetikisa na Filamu ya Chausiku alisema, kwa sasa amejipanga kuolewa wakati wowote iwapo tu mwanaume mwenye sifa anazozitaka atajitokeza.
“Wengi niliowahi kuwa nao ni wababaishaji tu na wala sikuona mwanaume wa kuweza kunioa. Kwa sasa nimeshakua mtu mzima na…
No comments:
Post a Comment