ROSE MUHANDO AMWAGA MACHOZI


Brighton Masalu

ROSE Muhando, aliye mwimbaji Injili Bongo, amejikuta akimwaga machozi yaliyojaa uchungu huku akitumia kama dakika 45 kuelezea wazi mateso na manyanyaso ambayo anayapitia kwa sasa ikiwemo kuhusishwa na tuhuma za utapeli na ‘kubwia unga’, Risasi Jumamosi linakupa stori kamili!
Mwimbaji Injili Bongo, Rose Muhando.
ILIKUAJE?

Mwandishi wetu alimtafuta mwimbaji huyo juzi kwa njia ya simu kutoka mkoani Dodoma yaliko makazi yake lengo likiwa kujua maendeleo yake kikazi ndipo kukaibuka mapya mengi.Rose alianza kuporomosha…

No comments:

Post a Comment