BAADA ya hivi karibuni kunaswa akiingia katika jengo lao, staa mwenye mvuto kunako gemu la filamu Bongo, Jacqueline Wolper amezidi kugandwa na skendo ya Jamii ya Siri (Secret Society) ya Freemason akidaiwa kuishi kwa masharti ya taasisi hiyo huku nyumba yake ikiwa imejaa vitu vinavyodaiwa kuwa vya ‘Ki-freemason’.
Akizungumza na gazeti hili, ‘dada’ wa kazi wa Wolper ambaye kwa sasa ameacha kufanya kazi kwake huku akiomba hifadhi ya jina lake, alisema…
No comments:
Post a Comment