DENTI ALAZWA, KISA VIBOKO SHULENI

Deogratius Mongela na Chande Abdallah
KATIKA hali isiyo ya kawaida mwanafunzi wa kidato cha nne wa Shule ya Sekondari ya Wasichana Kibaha, Kabula Wilson (18), alipoteza fahamu kisha kukimbizwa kwenye Hospitali ya Mkoa wa Pwani, Tumbi, kwa madai ya kucharazwa bakora na walimu wake kisa, kukamatwa barua ya kuwatukana....Soma zaidi====>http://bit.ly/1J131ri

No comments:

Post a Comment