FAHAMU UGONJWA WA SARATANI KWA WATOTO-3

Kitaalamu dawa za kutibu saratani hii imegawanyika katika makundi mawili ipo iitwayo Vincristin, ya pili ni Methotrexate na dawa nyingine inayofahamika kama Cytarabin. Dawa nyingine ambayo ni muhimu sana huitwa Cyclophosphamide.
Daktari akimuona mgonjwa anaweza kumpa dawa kwa kupitia njia ya mishipa ya damu pia ipo dawa ambayo mgonjwa hupewa kupitia uti wa mgongo.
Kundi la pili la dawa zinazotumika kutibu saratani hii lina dawa tatu, ambazo ni Etoposide, Ifosphamode na Cytarabin.
Kuna dawa vilevile ambayo mgonjwa hupewa kuzuia kutapika kutokana na dawa anazotumia kuwa kali.

Dawa hizi ambazo mgonjwa anapewa kwa kutumia njia ya uti wa mgongo humsaidia kuzuia ugonjwa usiende kwenye uti wa mgongo.
USHAURI
Kikubwa ni kujikinga na maambukizi ya malaria na…

No comments:

Post a Comment