LULU BADO AMTESA MAMA KANUMBA

Gladness Mallya
MAMA mzazi wa aliyekuwa staa wa filamu, marehemu Steven Kanumba, Flora Mtegoa, bado anateswa na Elizabeth Michael kufuatia maandishi yake kwenye mitandao ya kijamii katika siku ambayo ilikuwa ni kumbukumbu ya kifo cha mwanaye. ...Soma zaidi===>http://bit.ly/1JTxcRT

No comments:

Post a Comment