Wema Sepetu Atia AIBU......Anaswa Akibadilishana 'MATE' na Mwanaume Hadharani

Licha ya kudai kwamba skendo za ngono sasa basi, staa wa sinema za Kibongo, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ amekwaa aibu mpya baada ya picha zake kunaswa akiwa na mwanaume mwingine kwa mara nyingine, mwenye asili ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), wakiwa kwenye Mgahawa wa hoteli iliyotajwa kwa jina la Cape-town Fish Market iliyopo Msasani jijini Dar. Chanzo cha  habari ambacho kilipenyeza...
Read More

No comments:

Post a Comment