MH. TEMBA, JOKATE KUTOKA NA FUNDI

Mwanamuziki anayekimbiza kwenye game la muziki wa Kibongo, Aman Temba ‘Mh. Temba’.
Boniphace Ngumije

MWANAMUZIKI anayekimbiza kwenye game la muziki wa Kibongo, Aman Temba ‘Mh. Temba’ siku si nyingi anategemea kuibuka na ngoma inayoitwa Fundi, aliyoifanyia katika Studio ya Mj Records chini ya produza Marco Chali na kumshirikisha mwanamitindo maarufu Bongo, Jokate.
 Mwanamitindo maarufu Bongo, Jokate.
Mh. Temba aliitonya Showbiz kuwa,…

No comments:

Post a Comment