Kundi linalofanya kweli kwenye gemu la muziki, Afrika Mashariki la Navy Kenzo.
Boniphace Ngumije
KUNDI linalofanya kweli kwenye gemu la muziki, Afrika Mashariki la Navy Kenzo, linaloundwa na wasanii ‘couple’, Aika na Nahreal limezidi kuchana anga baada ya wimbo wao unaoitwa Game kuzidi kufanya vyema kwenye media mbalimbali duniani.

Akichezesha taya na Showbiz, Aika alidai kuwa mafanikio wanayoendelea kuyapata kutokana na wimbo huo waliomshirikisha Vanessa Mdee na video yake kufanywa na produza maarufu…
No comments:
Post a Comment