Sherehe za ufunguzi wa ubalozi wa Marekani huko Cuba zimefanyika mjini Havana.
Bendera hiyo imerejea Cuba baada ya miaka 50
Hii ndio mara ya kwanza kwa ubalozi huo na haswa bendera ya Marekani kupepea tena nchini humo tangu mwaka wa 1961.
Waziri wa mambo ya nje wa Marekani, John Kerry, aliyeko Havana ndiye aliyekuwa mgeni mheshimiwa katika dhifa hiyo ya kufungua upya ubalozi wa nchi yake nchini Cuba
Ubalozi wa marekani wafunguliwa Cuba
baada ya zaidi ya nusu karne ilipofungwa.
No comments:
Post a Comment