Na imelda mtema
Staa wa filamu Bongo, Kajala Masanja juzi kati aliangusha bonge ya pati iliyogharimu takriban shilingi milioni saba ikiwa ni sehemu ya kujipongeza kwa kazi ngumu ya ujaji aliyokuwa akiifanya kwenye shindano la kusaka vipaji la Kinondoni (K.T.S) ambapo kwenye pati hiyo watu walikunywa, kula na wengine walilewa kwa pombe kali.
Staa wa filamu Bongo, Kajala Masanja akiwakaribisha wageni waalikwa.
Akichonga na Ijumaa, Kajala alisema aliamua kufanya pati hiyo kwa sababu kazi aliyokuwa nayo haikuwa rahisi lakini pia ilikuwa ni lazima…
No comments:
Post a Comment