MKALI wa muziki wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul ‘Diamond Platinum’ na mpenzi wake, Zarina Hassani ‘Zari’, wamekubaliana kutoonyesha sura ya mtoto wao wa kike, Tiffah hadi atakapofikia siku arobaini tangu kuzaliwa kwake. Alisema makubaliano ya kuendelea kumficha mtoto huyo asionekane kwa jamii yametokana na makubaliano waliyonayo na makampuni mbalimbali yanayomdhamini. Diamond...
No comments:
Post a Comment