Mchakato wa usikilizwaji wa kesi ya Sheria ya Makosa ya Uhalifu wa Kimtandao umeanza, huku Mahakama Kuu nchini ikiipa Serikali siku 14 kuwasilisha mahakamani hapo majibu yake ya utetezi kuhusiana na kesi hiyo. Kesi hiyo namba 32 ya mwaka 2015 ilifunguliwa wiki iliyopita na Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC), kwa kushirikiana na mashirika mengine ya haki za binadamu, kikiwemo Kituo...

No comments:
Post a Comment