Ajali ya Basi Yaua Watu Watano.....Chanzo cha Ajali ni Dereva Kusinzia

Watu watano wamekufa na wengine 39 kujeruhiwa vibaya baada ya basi walilokuwa wakisafiria la kampuni ya Metro kuacha njia na kupinduka katika eneo la Manga, mpakani mwa mikoa ya Tanga na Pwani, chanzo kikidaiwa dereva alikuwa akisinzia. Waliokufa katika ajali hiyo iliyotokea jana ni Joseph John (45) na Joseph Shayo (41), wakazi wa Moshi, mkoani Kilimanjaro na Zakaria Kintupa, mkazi wa Lutindi...
Read More

No comments:

Post a Comment