Mabasi 138 yaendayo haraka yatua Dar

Mwezi mmoja baada ya kuanza kutolewa kwa mafunzo kwa madereva maalumu, awamu ya kwanza ya mabasi 138 ya Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka (Dart) imewasili nchini kutoka China. Agosti 16, Serikali ilizindua mafunzo ya madereva 330 ambayo yangetolewa kwa awamu tano ili kuwajengea uwezo wa kuyaendesha na kuwahudumia wateja. Akipokea mabasi hayo kwenye Bandari ya Dar es Salaam, Mkuu wa Mkoa, Saidi...
Read More

No comments:

Post a Comment