Sumatra Yafungia Mabasi yote ya Muro

MAMLAKA ya Kudhibiti Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA), imesitisha kwa muda usiojulikana leseni ya usafirishaji abiria ya kampuni ya mabasi ya Muro (Muro Investment Co. Limited), kwa kutokidhi viwango vya kiufundi na usalama. Aidha, Sumatra imeiagiza kampuni hiyo kuwasilisha kwa mamlaka hiyo mpango wa utengenezaji magari yake, nakala ya cheti cha ofisa usafirishaji wa kampuni pamoja...
Read More

No comments:

Post a Comment