TANGAZO BWANA GRATIAN EMMANUEL NSHEKANABO ANATAFUTWA NA MJOMBA WAKE.

Mr. Edward Ntoroma wa State House Tanzania, pamoja na Bi. Puwu Kagumsa wa Bukoba Tanzania wanamtafuta Ndugu yao Mr. Gratian Emmanuel Nshekanabo, Mr. Gratian alikuwa anaishi Miami. FL na kazi alikuwa anafanyia kwenye address hii 3101 Lorna Rd Apt 1322 Birmingham. Mr Gratian hajawahi kuwasiliana na familia yake kwa muda mrefu sasa hadi wamepatwa na wasiwasi. Yeyoye mwenye kujua taarifa ya  Mr. Gratian anaombwa amwambie anatafutwa na familia yake na anaweza kuwasiliana nao kwa # +255754088644, 
 Mjomba yake Mr. Edward Ntoroma, 
au mama yake mdogo
 #+255752621199 
Bi. Puwu Kagumsa wa Bukoba Tanzania. 
Yeyote mwenye kuwasiliana na Mr.  Gratian Emmnuel Nshekanabo anaweza kumjuza kuwa ndugu zake wanamtafuta.

No comments:

Post a Comment